Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Weka karatasi zikiangalia upande unaofaa, na utelezeshe miongozo ya kando ya kingo za karatasi.
Wakati unaweka nakala za kwanza kwenye glasi ya kichanganuzi, linganisha kona ya nakala ya kwanza na kona inayoonyeshwa na alama iliyo kwenye fremu ya glasi ya kichanganuzi. Ikiwa kingo za nakala zimepogolewa, sogeza nakala ya kwanza kidogo mbali na kona.
Unapoweka asili kwenye glasi ya kichanganuzi, safisha glasi ya kichanganuzi na jalada la hati. Ikiwa kuna vumbi au uchafu kwenye glasi, sehemu ya kunakili inaweza kupanuka kujumuisha vumbi au uchafu huo, na kusababisha mkao mbaya wa kunakili au picha ndogo.
Chagua Ukubwa Asili inayofaa katika mipangilio ya kunakili.
Teua mpangilio wa ukubwa wa karatasi unaofaa.
Rekebisha uchapishaji usio na pambizo katika programu ili iingie katika sehemu inayoweza kuchapishwa.